Web

Samuel Eto’o Atua Nchini Kimya Kimya

Top Post Ad

Samuel Eto’o atua nchini kimya kimya
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o tayari amewasili Tanzania.

Eto’o amekuja Tanzania kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa 5-A Side utakaojengwa Oysterbay

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.