Sanchi Aanika Kiwanja Chake Cha Milioni 97 Alichonunua "Nimenunua Kwa Pesa Yangu"

Sanchi Aanika Kiwanja Chake  Cha Milioni 97 Alichonunua "Nimenunua Kwa Pesa Yangu"
Socialite maarufu Janey Rimoy ‘Sanchi’ aliyejizlea umaarufu Kwenye mitandao ya kijamii kutokana na umbo lake matata na picha zake za utata amefunguka na kuanika kiwanja alichonunua kwa shilingi milioni 97.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sanchi ameweka wazi kuwa alimtumia kiwanja kile kwa pesa yake mwenyewe miaka michache iliyopita ba hata kudokeza kuwa anataka kuporomosha mjengo.

Sanchi amedai yeye ndiye kumiliki halali wa kiwanja kile ambacho kina ukubwa wa hekari kadhaa na kudai ana mpango wa kuporomosha Mjengo mara tu atakapomaliza kujenga nyumba yake ya sasa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad