Tafrani Yaibuka Kimara Wananchi waingia barabarani, Kuyazuia mabasi ya Mwendo Kasi

Wananchi waingia barabarani, wayazuia mabasi ya Mwendo Kasi

Leo October 10, 2018 Mradi wa usafirishaji wa abiria wa Mwendo kasi umelalamikiwa na abiria huku ukidaiwa kutotimiza lengo lililokusudiwa wakati wa uanzishwaji wake kitu kilichosababisha Wananchi kuingia barabarani kuyazuia.

Wananchi wa eneo la korogwe wameingia barabarani ili kupaza sauti na kudai kuwa toka saa 12 asubuhi wamekosa gari na kuwasababishia kuchelewa kwenye majukumu yao huku wakizitumia lawama gari za mwendokasi za express.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad