Tazama VIDEO WEMA Sepetu Akimwaga 'MACHOZI' Wakati Akiomba Radhi

KUFUATIA kusambaa kwa video zake chafu zinazomuonesha akiwa chumbani na mwanaume aliyemtambulisha kama Mume wake mtarajiwa, Muigizaji maarufu Bongo, Wema Sepetu, amejitokeza hadharani leo na kuomba radhi kwa watanzania, Mashabiki na familia yake kwa ujumla kutokana na video hizo.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wema waangu nakupenda sana hakuna zito lisilo na wepesi mrudie mungu anza kusali na kufunga yatakwisha hakuna aliekamilika mangapi yamekufika yamepita na hili litapita nakupenda sana mdogo wangu sali na kufunga muombe mungu yataisha tu na utaendelea kuwa tanzania sweet heart today till tomorrow

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad