“Tunda aliwahi kuwa mpenzi wangu nasikia kaachana na Casto arudi tufunge ndoa


Mchekeshaji Stan Bakora amesema kuwa aliwai kutoka kimapenzi na mrembo Tundakipindi ambacho wote wawili walikuwa hawajulikani, Stan ameeleza uhusiano wao ulidumu wakati wanaishi Morogoro na walipokuja Dar es Salaam hawakuendelea tena.

Stan Bakora amesema hayo wakati alipoulizwa kuhusu mwanamke anayeweza kufanga naye ndoa ndipo akajibu kwa kusema labda Tundakwani ndo mwanamke anaye muona wataendana kwenye ndoa kwakuwa waliwai kuwa wapenzi hivyo wanajuana vizuri, hata hivyo ameongezea kwa kusema aliwai kuumia kuona Casto kamchora Tunda Tattoo.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hello me na hitaji kufungua blog yangu ila hajawa kwenye malipo ya adsence unaweza niasaidia tafadhali ntakulipa email yangu brownstunnerz46@gmail.com

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad