Utumiaji Holela wa Dawa Husababisha Homa ya Ini


Matumizi ya dawa yanapaswa kufanyika kwa umakini na uangalifu mkubwa -
Hii kwa sababu baadhi ya dawa zikitumiwa isivyopaswa huathiri ini moja kwa moja

Mtu anapomeza dawa huenda moja kwa moja tumboni, huko huchakatwa ili mwili upokee kile kinachohitajika kwa ajili ya kutibu

Kile kisichohitajika(uchafu) kabla ya kutolewa nje hupitia kwenye ini

Matumizi ya dawa yakiwa holela mtu anaweza kujikuta ametumia kiwango kikubwa cha dawa na hivyo kuliweka ini lake hatarini
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad