Video: Diamond ni Sukari ya Warembo, Alipofikia Anayemtaka Anampata – RC Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ni mlezi wa WCB, amemtaka Diamond kutoharakia kuoa kwa kuwa bado ana kazi kubwa ya kuijenga WCB. Ameyasema hayo Ijumaa hii wakati muimbaji huyo akitoa misaada mbalimbali kusherekea siku yake ya kuzaliwa na wakazi wa Tandale sehemu aliyozaliwa na kukulia.

VIDEO:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NO KOMENTI.....
    MAKONDA..!!!
    WEWE NI WA KUMPA MWNGOZO HUYU KIJANA..NA SI VINGINEVYO.
    DAIMONDI MUOGOPE ALLAH NA USHIKE KAAMBA YAKE MUDA NA WAKATI WOTE.
    MAMA YAKO KAKUKUUZA KWA TABU NA ANA HAKI YA KUKUONA UMEONGOKA NA KWA MZEE WAKO PIA MFANYIE IHSAANI KAMA ULIVYO AMRISHWA.. YY HESABU YAKE KWA ALLAH ALIVYO KUTELEKEZA WAKATI MNAMUHITAJI.

    MUNGU AKULINDE NA MARADHI MABAYA NA AKUJAALI MKE MWEMA NA KIZAZI CHEMA.. ANZA HUU MCHAKATO HIVI SASA UJANA USIKUDANGANYE NA MARAFIKI...MFANO NI MZEE WAKO.. WOTE WATAKUJA KUKUKIMBIA SI SALAM WALA TALE NA WOTE WANAOKUZUNGUKA KWA SASA AJILI UNACHO... KUA UTAONA MENGI MWANANGU..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad