Video: Hivi Ndivyo Wema Alivyomwaga Chozi Kusambaa Video yake chafuu mtandaoni, Aomba Msamaha

Video: Hivi Ndivyo Wema Alivyomwaga Chozi Kusambaa Video yake chafuu mtandaoni, Aomba Msamaha
Msanii wa Filamu Tanzania Wema Sepetu, Baada ya kusambaa kwa video a,mbayo ni kinyume cha maadili na ilionyesha akiwa kitandani na mwanaume wakifanya mambo ya siri, msanii huyo ameomba msamaha kwa kilichojitokeza na kutaka jamii imsamehe kwa kilichojitokeza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad