VIDEO: INASIKITISHA: Chidi Benzi Aibuka Tandale kwa Diamond, Achana mistari kuntu Shangwe kama zote
0Udaku SpecialOctober 06, 2018
Baada ya ukimya wa Muda mrefu kutoka kwa msanii Chid Benzi ambae alikuwa muathirika wa madawa ya kulevya ambapo ilimfanya apotee kwenye tasnia ya Muziki, atimaye Ghafla kaibukia kwenye birthday Diamond Platnumz iliofanyika tandale.
Msanii chid Benz Atimua vumbi kwa kupiga show babkubwa na kuacha watu wakipiga mayowe, vilevile aliwahusia vijana wenzake kutotumia madawa ya kulevya.