VIDEO: Makonda Ampongeza Meya wa CHADEMA Ataka Asihame Chama hicho


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameepa kumpa ushirikiano wa hali na mali Meya wa jiji hilo Isaya Mwita (CHADEMA) kutokana na hatua yake ya kuunga mkono jitihada za maendeleo zinazofanywa na Rais Magufuli na kuwataka viongozi wengine wa vyama vya upinzani kuiga mfano wake.

VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad