Video Mpya ya Ali Kiba: Hela

Miezi minne baada ya kufanya poa na Mvumo Wa Radi, Alikiba amerudi tena kwenye masikio na macho yako akiwa na ngoma mpya 'Hela' ambayo inakua ni ngoma yake ya kwanza tangu muimbaji huyo alipotangaza kuanza kujihusisha na Soka huku Coastal Union ya Tanga ikiwa ndiyo Club iliyopata baraka za Mwanamuziki huyo.

Kwenye 'HELA' Alikiba ameongea kuhusu Pesaa, Alikiba ameilalamikia Pesa vile inawatesa wanyonge na kuwafanya wengine kuyafurahia maisha kwasababu wamepata.

Unaweza kuicheki hapa Video ya hela iliyoachiwa Usiku wa Oktoba 2,2018.

<<DOWNLOAD VIDEO>>



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad