VIDEO: Mtu wa Kwanza Kupigwa Risasi Alikuwa CUF, CHADEMA Watupiwa Lawama

Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama taifa wa chama cha ACT Wazalendo Mohamedi Babu amefunguka kuhusiana na hali ya kisiasa invyoendelea nchini huku akieleza mtu wa kwanza kupigwa risasi alikuwa ni mwanachama wa wa chama CUF ambaye alikuwa anapandisha bendera ya chama hicho Pemba.

Pia Babu ameitupia kombora chama cha CHADEMA kwa kushindwa kuonesha misimamo kutokana na hali ya kisiasa inayoendela nchini ikiwa wao ni chama kikuu cha upinzani kwa sasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad