Video: Nitamtafuta Mo Dewji kama Lugola Alivyomsaka Mbwa wa Polisi

Video: Nitamtafuta Mo Dewji kama Lugola Alivyomsaka Mbwa wa Polisi
Waziri Kivuli wa  Mambo ya ndani nchi, Godbless Lema leo Octoba 16 2018 ameshangazwa na kauli ya Waziri hiyo Kangi Lugola ya kutaka wanasiasa na wananchi wote kuacha kuzungumzia sakata la kutekwa kwa Mohammed Dewji (Mo Dewji).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad