VIDEO: Shuhuda Asimulia Daladala iliyowaka moto Ubungo ‘Dereva na Konda Waingia Mitini’

Taarifa za usiku huu wa October 1, 2018 ni kwamba Gari aina ya Daladala lenye namba za usajili T 742 DMU linalofanya safari zake hapa Dar es Salaam limeteketea kwa moto maeneo ya Mwenge Dar es Salaam wakati lilipokuwa limepaki kituoni.

Mashuhuda wamesimulia ilivyokuwa mpaka ikapelekea gari hilo kuwaka moto:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad