TAKUKURU imewakamata aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Deo Mwanyika pamoja na Mshauri wa Serikali ndani ya kampuni hiyo, Alex Lugendo.
Wamakamatwa kwa tuhuma za kutumia vibaya ofisi na kushindwa kuipatia nchi mapato stahiki katika uchimbaji wa madini kupitia ACACIA.
Mwanyika alitangazwa kujiuzulu Agosti 24 mwaka huu.