Wapenzi Waamua Kufunga Ndoa Chini ya Maji...Tazama Picha Hapa

Wapenzi Thomas Mould na Sandra Hyde wa Florida Marekani, wamefunga ndoa yao chini ya bahari baada ya miaka minne ya kuwa pamoja.

Ukiambiwa uchague mahali pa kufungia ndoa kutokana na unachokipenda, utachagua wapi!?

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad