Watu 14 Wanashikiliwa Wakihusishwa na Sakata la Watoto 17 Kulawitiwa Mkesha wa Mwenge


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jinsia na Watoto amesema kuwa watu hao wamekamatwa baada ya Jeshi la Polisi kufanya msako
-
Uchunguzi sakata hilo bado unaendelea na utakapokamilika Watuhumiwa hao watafikishwa kwenye vyombo vya sheria
kwa hatua zaidi
-
Aidha, kwa upande mwingine, Waziri Ummy amesema kuwa Watoto hao baada ya kuhojiwa wamesema walikubali kufanya hivyo ili kukwepa mimba
-
Amewataka Wazazi kuzungumza na Watoto pamoja na kufuatilia nyendo zao
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad