Muigizaji wa Bongo movie Mrembo Wema Sepetu amefunguka na kuongelea skendo nzito inayomuandama hivi sasa ya kufaidi Penzi la Msanii wa Bongo fleva Dogo Janja.
Siku ya jana Mange Kimambi alidai kuwa Wema na Dogo Janja walikutana mkoani Arusha ambapo walikuwa nyumbani kwa rafiki yao lakini mambo yaliwazidi na kujikuta wanafanya yao.
Wema ameibuka kukataa tetesi hizo na kumtuhumu Mange kwa kusambaza taarifa ambazo hazina ukweli wowote.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema ameandika maneno haya:
Wema amekana tetesi hizo na kumuanika mwanaume mwingine ambaye amedai atakuwa mume wake mtarajiwa.
Wema Amjibu Mange Kimambi Kuhusu Tuhuma za Kutoka na Dogo Janja
0
October 18, 2018
Tags