Wema Sepetu Atapeliwa Mamilion "Future Husband Wanted -VIDEO



JESHI la Polisi nchini linamsaka mchumba wa Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu anayefahamika kwa jina la PCK raia wa Burundi baada kusambaa mitandaoni kwa video za wapenzi hao wakipeana mahaba. Mbali na video hizo, PCK anasakwa pia kwa kumtapeli kigogo mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina limehifadhiwa).

Pia aanhusishwa na biashara haramu ya madawa ya kulevywa Atajwa kwa biashara ya video za ngono Bongo Awafanyia ‘ushenzi’ mastaa kibao Abanwa na RISASI JUMAMOSI, afunguka RPC Mambosasa atoa kauli.


Source:Global Publishers
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad