Zari achafua hali ya hewa mtandaoni, amuandikia Diamond ujumbe wa ‘dharau’ usiovumilika


Mwanamama Mjasiriamali Zari amejikuta akichafua hali ya hewa mtandaoni baada ya kumuandikia mzazi mwenzie, Diamond Platnumz ujumbe uliojaa dharau.

Zari akiandika ujumbe huo kwa lengo la kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Diamond Platnumz ameandika kwa kusema “Happy birthday mwenye vikima vyake“.

Kwa ujumbe huo, watu wengi wamesikitishwa na kitendo cha mwanamama huyo kuwafananisha watoto wa Diamond Platnumz na mnyama KIMA.

zack_officiallyJamani ata sijapenda hivyo vitoto jamani hivi mnaelewa maana ya kima au?

lydia_leedZari hajakosea kwasababu Baba Tee alishamuitaga kima so akajiuliza kumbe amezaa na kima na ndio mana kasema Hivyo happybirthday mwenye vikima vyake..malipo ni hapahapa Insta

soudyazizaHacker kashafanya yake siamini kama mama Tee ameandika mwenyewe,

mlekwasamwelMhhh! Hapo ndo utaamini kwa nini muuza mkaa haogi mchana

mrs_hafidh_zanga_wa_ukweehZari u r my role mode BT hakuna siku ulonikera kama Leo .no bora ungekaa kimya kuliko Kuwaita awo malaika WA mungu vkima wakati hawana kosa lolote ili mradi ufurahishe jamii….Kwa kweli umemkosea ata mungu siku ya Leo.don’t u film quality for calling ur own kids vikima???mnhh

godbless_mwangaNachat humu ila nina hasira sana na huyu mama kima kwa kupost hiki kitu msidhani nimeumia kidogo, naheshimu TCRA vinginevyo ningeandika maneno machafu mpaka kesho, likima wee.

Leo Oktoba 02, 2018 ni siku ya mfanano ya kuzaliwa kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad