Zuberi Kuchauka Ameshinda Ubunge Liwale kwa Asilimia 85.81

 Zuberi Kuchauka Ameshinda Ubunge Liwale kwa Asilimia 85.81
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Liwale kupitia CCM, Zuberi Kuchauka amefanikiwa kupata ushindi wa kura 34,582 sawa na asilimia 85.81%, kabla ya kugombea kupitia CCM Kuchauka alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CUF na akatangaza kujiuzulu kisha kugombea tena.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad