Akothe Atuma Ujumbe Mzito kwa Watoto Kupitia Diamond na Mama Yake

Akothe Atuma Ujumbe Mzito kwa Watoto Kupitia Diamond na Mama Yake
Msanii kutoka Kenya ambae pia anajiita Boss Lady Akothee amefunguka na kutuma ujumbe mzito sana kuhusu mapenzi kati ya mama na mtoto huku akitaka watoto wote waige mfano wa Diamond na mama yake baada ya mateso na mahangaiko kibao leo hii mama huyo ni kama malkia kwa mtoto wake.

Akothe ameyasema hay alipokuwa katika moja ya party huku nchini Dubai ambapo Diamond alikuwa huko pia na familia yake katika vacation na kusema kuwa watoto wengi wamekuwa wakisahau mama zao lakini hii ni tofauti sana kwa msanii Diamond kwa sababu amekuwa akipenda sana mama yake.


Mwanadada huo pia anasema kuwa pamoja na kwamba yeye pia anao watoto lakini anatamani sana kwa hapo baadae aweze kuwa kama mama Diamond sasa hivi anavyopta araha kutoka kwa mtoto wake ambao kwa sasa anauwezo wa kufanya chochote kwa ajili ya mama yake.

Akothee anawataka pia hata wasanii kuwa na moyo kama wa diamond wa kuwaonyesha upendo kwa mama zao kama anavyofanyiwa mama huyo na sio kuwa kimya na kuongalia mama zao wanavyokuwa wakingaika.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad