Alberto Msando Asikitishwa Kwa Tigo Fiesta Kufutiwa Kibali cha Tamasha Leo


From @albertomsando : Hatuwezi na hatupaswi kuwa nchi au mkoa ambao mfanyabiashara au mwananchi hana uhakika au hajui maamuzi gani yatatolewa kuhusu maisha yake au jambo lake lolote. Maamuzi ya kutoa kibali wakati mtu anajua kuna wagonjwa wa moyo ni ya KIPUUZI. Maamuzi ya kufuta kibali cha Tigo Fiesta siku moja kabla ya tukio ni ya HOVYO. We must be consistent. Huwezi kusema na ukaeleweka kwamba ‘baada ya malalamiko ya wagonjwa’ ndio umegundua Leaders hapafai kwa tamasha! Uongozi wenye kuacha alama una sifa zifuatazo 1. USAWA 2. UKWELI 3. HAKI 4. BUSARA 5. USHIRIKISHAJI. All said, kila mmoja atajifunza. Jambo ambalo liko wazi sana ni kwamba kila mmoja wetu anayo NAFSI. HUWEZI KUIDANGANYA NAFSI YAKO. #TheDon.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad