Alikiba Atangaza Kumleta Vyonne Chakachaka Katika Tamasha Lake la Funga Mwaka

Alikiba Atangaza Kumleta Vyonne Chakachaka Katika Tamasha Lake la Funga Mwaka
Mkali wa Bongo Fleva Alikiba amedokeza kumleta nchini Mwimbaji mkongwe Vyonne Chaka Chaka kutokea Afrika Kusini ambapo watatumbuiza pamoja katika Tamasha la ‘Funga Mwaka na King Kiba’ litakalofanyika December 22,2018.

July mwaka huu ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Alikiba kumleta nguli huyo nchini  na kufanya mradi wa kuwasaidia wanawake kufanikisha sector mbalimbali katika Bara la Afrika na wawili hao walifanya wimbo wa ‘Akilia Mama’ kwaajili ya mradi huo.



“Ikiwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa namshukuru Mungu kwa kuendelea kunibariki katika kila jambo na namshukuru kwa kunipa mashabiki wanaonipa support ya dhati kabisa. Shukrani zangu kwa mashabiki mwaka huu katika #FungaMwakaNaKingKibazinakuja na show mbili kubwa ndani ya December 2018″

“1st Edition ya Funga Mwaka Na King Kiba nitakuwa na Princess of Africa Mama Yvonne_ ChakaChaka itafanyika Serena Hotel Dar es salaam 22 .December. 2018
2nd Edition ya Funga Mwaka Na KingKiba itatukutanisha pale Next Door Arena, Dar es Salaam tarehe 29. December.2018.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad