Aslay ameelezea juu ya ajali hiyo iliyompata akiwa Kisumu nchini Kenya kwa kuandika
‘It’s normal for celebrities and performers to encounter some challenging moments while on stage and mine came through yesterday, I slipped on stage but miraculously I wasn’t hurt, I came back on stage and gave one of the most electrifying performance, KISUMU you guys are AMAZING the Energy was insane. Mwenyezi Mungu Awabariki !!!
Ambapo tasfiri yake ni kuwa “Ni Kawaida kwa Wasanii kupatana na changamoto jukwani, na Jana ilikuwa zamu yangu, yalitokea Haya punde tu nilipopanda jukwani kwa bahati nzuri sikuumia ,nilirejea jukwani na kuburudisha Mashabiki wangu wa Kisumu waliyojitokeza kwa wingi. Asanteni sana nyote Mwenyezi Mungu Awabariki!!!’ aliandika
Baada ya kuanguka kwa msanii huyo kulitokea maoni mengi sana katika mitandao huku baadhi ya waandishi na mashbiki walisema kuwa kuanguka kwa msanii huyo ni figisu zilizokuwa zikifanywa na baadhi ya watu hili kuondoa sifa nzuri ya kazi za wasanii wa kitanzania katika nchi za jrani , lakini alsya anasema kuwa maswala kama hayo huwa yanatokea kial mahali.