AY Athibitisha Kumiliki Mjengo Calabasas, Marekani


Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Ambwene Yesaya maarufu kama AY amethibitisha kumiliki mjengo wa kifahari nchini Marekani katika maeneo ya Calabasas.

Katika mahojiano aliyofanya na Global Publishers AY  amethibitisha kwamba akili yake inafikiri mbali zaidi nay eye ni wa anga za kimataifa, naye aka­nunua Mjengo maeneo ya Calabasas ingawa hajataka kufafanua gharama zake.

Ni kweli nimefanikiwa kupata nyumba Calaba­sas na ndipo yatakuwa makazi yangu, ninamiliki nyumba mbili ikiwemo hiyo ya Marekani na moja Tanzania,na pia ninamiliki magari manne“.

AY anakuwa Kama ametisha hivi kwani eneo ambalo amenunua mjengo Wake ni eneo wanalokaa washua na mastaa wakubwa wenye pesa zao Kama vile Kim Kardashian, Kanye West, Drake Justin Bieber na wengineo wengi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad