Azam Waomba Mechi Zao za Simba na Yanga Kurudi Taifa

Azam Waomba Mechi Zao za Simba na Yanga Kurudi Taifa
Uongozi wa klabu ya Azam FC, umeliandikia barua Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF kuliomba kurudisha michezo yao ya nyumbani dhidi ya Simba na Yanga kufanyika Uwanja wa Taifa badala ya kuchezwa Azam Complex kama ilivyozoeleka.

Wakati sababu za maombi ya kubadilishiwa uwanja ni kutokana na uwezo mdogo uliyokuwa nao dimba la Azam Complex katika kuingiza mashabiki na watazamaji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad