Baada ya Kuchezea Kichapo Lesotho Taifa Stars Yalejea Nchimi

Baada ya Kuchezea Kichapo Lesotho Taifa Stars Yalejea Nchimi
Timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars imewasili jioni ya leo Jumatatu, Novemba 19, 2018 ikitokea nchini Lesotho kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani #AFCON2019Q ambao ulimalizika jana kwa Tanzania kufungwa bao 1-0 na Lesotho.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad