Barakah The Prince Ajimaliza kwa Najma “Nimeshakuwa na Wanawake Wengi Lakini Kwako Nimefika”

Barakah The Prince Ajimaliza kwa Najma “Nimeshakuwa na Wanawake Wengi Lakini Kwako Nimefika”
Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Barakah The Prince amefunguka maneno mazito kwa Mpenzi Wake Najma Dattan ‘Naj’ alipokuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Barakah na Naj walirudiana hivi karibuni Baada ya kuachana kwa muda mrefu Baada ya skendo za Barakah kuchepuka na wanawake kadhaa ikiwemo kudaiwa kumpa ujauzito mwanamke mwingine.

Barakah ameibuka na kumuandikia maneno mazito mpenzi wake Naj alipokuwa anasheherekea siku yake kuzaliwa ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram Barakah ameandika:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad