Bill Nass: Sijawahi kuachwa na Mwanamke Kwenye Mapenzi

Bill Nass: Sijawahi kuachwa na Mwanamke Kwenye Mapenzi
Msanii wa Bongo Flava , Billnass amesema kuwa hajawahi kuacha kwenye mahusiano na akiona vitu haviendi anaamua kufanya vitu vingine.

Billnass amesema kuwa amedate na watu wengi sana huku akisema neno wengi linaanzia na mbili.

"Mimi sijawahi kuachwa kwenye mahusiano kama kuna dada ana prove amewahi kuniacha na nimedate na watu wengi kidogo sio wengi sana kwasababu wengi inaanzia na mbili sasa sikujua anamzungumzia dada gani lakini kwa bahati sijawahi kuachwa nikiona vitu haviendi naamua kufanya vitu vingine," amesema Billnass Times FM.

Bill Nass kwasasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya aliomba kwa kushirikiana na msanii, Whozu unaoitwa 'Kwa leo'

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad