BREAKING; Kaduguda Atolewa nje ya Ukumbi wa Mkutano Simba

Mwanachama Mwina Kaduguda ambaye ni mgombea wa nafasi ya Ujumbe Klabu ya Simba ametolewa nje ya ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu JK Nyerere ambapo kunafanyika mkutano mkuu hivi sasa.

Kaduguda ameondolewa kufuatia kupinga kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura zaidi ya 300.

Wagombea wengine nao wametoka nje, wakiongozwa na Swedy Mkwabi wakitaka kuzungumza pembeni au nje ya ukumbi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad