Breaking News: Abdul Nondo Ashinda Kesi Aachiwa Huru

Breaking News: Abdul Nondo Ashinda Kesi Aachiwa Huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo leo Novemba 5, 2018, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha makosa ya mshtakiwa. Alikuwa akilabiliwa na makosa ya kudanganya kutekwa na kutoa taarifa za uongo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad