Breaking News: Mbunge wa CUF Abdallah Mtolea Atangaza Kujivua Ubunge na Nafasi Zote za Chama

Breaking News: Mbunge wa CUF Abdallah Mtolea Atangaza Kujivua Ubunge na Nafasi Zote za Chama
Mbunge wa Temke Kupitia chama cha CUF Abdallah Mtolea  ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya chama kwa kile alichodai kuwa kumekuwa na migogoro ndani ya chama chake.

 Mtolea ametoa kauli hiyo ndani ya bunge.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad