Breaking News..Tamasha la Fiesta Lililokuwa Lifanyike Leo Limezuiwa Uwanja wa Leaders..


Tamasha la Fiesta lazuiwa Leaders Club :
Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Aron Kagulumjuli amethibitisha kuzuiwa kwa tamasha la Fiesta kutokana na malalamiko ya wagonjwa na wamewataka waandaaji kuhamishia tamasha hilo viwanja vya Tanganyika Peakers vilivyopo Kawe, Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad