Casto Dickison Amposti Patriki wa Muna kwa Mara ya Kwanza Toka Afariki Watu Wamporomoshea Mvua ya Matusi

Casto Dickison Amposti Patriki wa Muna kwa Mara ya Kwanza Toka Afariki Watu Wamporomoshea Mvua ya Matusi
Kwa mara ya kwanza Mtangazaji wa Clouds TV Casto Dickson ametumia ukurasa wake wa instagram kupost picha ya mtoto wake Marehemu Patrick ambaye alifariki July 3,2018 nchini Kenya alipokuwa akipatiwa matibabu.

Casto Dickson ameandika ujumbe mfupi na kusema “Nimekukumbuka mwanangu” hili ni neno lake la kwanza kuliandika tokea Patrick afariki baada ya kuwa na mvutano wa Baba halisi wa Patrick ni nani huku upande wa Casto Dickson ulikua kimya kuhusu mgogoro huo.

Casto Dickson >>>”Missing u Son🙏🏻 R.I.P”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad