Daimond Aiangukia Basata Aiomba Kuutumia Wimbo wa Nyegezi kwenye Wasafi Festival

Daimond Aiangukia Basata Aiomba Kuutumia Wimbo wa Nyegezi kwenye Wasafi Festival
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya muziki ya WCB Diamond Platnumz amefunguka na kuwaomba Basata kuutumia wimbo wao ba Rayvanny wa Mwanza kwenye tamasha lao la Wasafi Festival 2018.
Kupitia ukurusa wake wa Instagra
m Diamond ameandika hayo.
Na hiki ndio alichokiandika

Ikumbukwe kwamba wimbo huo ulifungiwa na baraza la sanaa Tanzania Basata kwa kudaiwa kuwa wimbo huo hauna Maadili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad