Dalili Kuu za Upungufu wa Damu Mwilini


Pasipo uwepo wa vibeba oksijeni kwenye damu, maeneo mbalimbali ya mwili yatakosa hewa na kupeleka ufanisi kupungua, sehemu hizi ni misuli, viungo kama moyo na ubongo, tishu mbalimbali na seli za mwili. Dalili kuu ni kuhisi umechoka na mwili kutokuwa sawa muda mwingi. Zifuatazo ni dalili za upungufu wa damu (anemia)

Mwii kukosa nguvu na uchovu wa mara kwa maraMapigo ya moyo

Kubadilikabadilika na moyo kwenda mbio sana

Kupumua kwa shida na stamina

KupunguaMaumivu ya kifuaKusinzia sana na mwili kutokuwa sawa

Mikono kuwa ya baridi naKupata maumivu ya kichwa

Muhimu kufahamu ni kwamba anemia huanza taratibu bila kuonesha dalili zozote lakini tatizo huwa linazidi kuwa kubwa kadiri muda unavoenda na hasa pale ikiwa kuna vitu hatarishi zaidi ya kimoja vinavyopelekea anemia.

Kuna sababu kuu tatu za kwanini umepata anemia (upungufu wa seli nyekundu za damu) ambazo ni mwili kutotengeneza seli nyekundu za kutosha, kupoteza damu nyingi kwenye ajali na mwili wenyewe kupambana na seli nyekundu za damu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad