Davido Awa-suprise Mashabiki Wake kwa kuwapa zawadi hii Nono kwenye Birthday yake

Davido awa-suprise mashabiki wake kwa kuwapa zawadi hii nono kwenye Birthday yake
 Novemba 21 msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido ilikuwa ni Birthday yake ambapo alikuwa anatimiza miaka 26.


Davido
Katika kusherehekea siku hiyo, Davido ametoa zawadi ya simu mpya aina ya Infinix Hot 6x kwa mashabiki wake 26. Birthday ya Tiffah ‘mtanichafulia nyumba yangu’

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad