DC Jokate Mwegelo anunua albamu ya Nandy kwa Tsh. 200,000

DC Jokate Mwegelo anunua albamu ya Nandy kwa Tsh. 200,000
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amenunua album ya Nandy kwa Tsh. 200,000.

Ni katika uzinduzi wa albamu hiyo yenye nyimbo zipatazo 13 ambao ulifanyika usiku wa Novemba 8 na kuhudhuriwa na watu wengi maarufu.

Licha ya DC Jokate kununua albamu hiyo kwa fedha nyingi, pia msanii wa filamu Bongo Aunt Ezekiel alinunua albamu hiyo kwa  Tsh. 150,000

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad