Diamond Platnumz, Vanessa Mdee waitikisa Dubai wafanya show ya kufa mtu

Diamond Platnumz, Vanessa Mdee waitikisa Dubai wafanya show ya kufa mtu
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka katika lebo ya WCB pia akiwa ndio C.E.O wa lebo hiyo Diamond Platnumz amefanikiwa kufanya show kubwa sasa katika tamasha la OneAfricanMusic2018.



Tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka na kwa mara hii likiwa limefanyika Dubai msanii huyo kutoka Tanzania aliweza kufanya Show kubwa sana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad