Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali Faiza Ally amefunguka na kudai bado anampenda Baba wa Mtoto wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.
Sugu na Faiza walikuwa kwenye mahusiano miaka kadhaa iliyopita lakini pamoja na kuachana wamendelea kukamata headlines kwa maugomvi yao ya mitandaoni.
dhalilisha Sugu Mara kwa Mara kwenye mitandao ya kijamii huku akimtuhumu kwa kumtelekeza Mtoto wao bila huduma yoyote.
Pamoja na kukosa maelewano Faiza ameibuka na kudai kuwa bado anampenda sana Sugu na amejaribu kuwa na wanaume wengine lakini ameshindwa ikiwemo kuzaa na mwanaume mwingine.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Faiza ameandika maneno haya:
Faiza Ashindwa Kuvumilia Atoa Hisia Zake kwa Sugu "Bado Nampenda Sugu''
0
November 15, 2018
Tags