Gari la JWTZ Lililokuwa na Magunia ya Korosho Lapata Ajari Mtwara

Gari la JWTZ Lililokuwa na Magunia ya Korosho Lapata Ajari Mtwara
Gari la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambalo lilikuwa limebeba tani 15 za korosho likitokea wilayani Tandaimba kuelekea Mtwara mjini limepata ajali jana Novemba 21, 2018 na kusababisha korosho zote kumwagika barabarani.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amethibitisha kupata ajali kwa gari hilo la jeshi na kusema chanzo ni kufeli breki, na waliokuwemo ndani ya gari hilo wanaendelea vizuri.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad