Hatimaye Clouds Media Wafunguka Kuhusu Tetesi za Ruge Mutahaba Kuumwa


KUHUSU #RugeMutahaba
.
"Ni kweli mengi yamezungumzwa lakini ukweli halisi ni huu:... katikati mwezi wa 5 kulelekea mwezi wa 6 hali ya Mkurugenzi haikuwa nzuri na akatuomba kupata muda kidogo ili ashughulikie afya yake na tuliona hili litakuwa dogo tu na tukatoa baraka zote. Lakini ripoti za kitabibu zikasema muda wa kupumzika ni mdogo hivyo akaongezewa muda na katikati ya mwezi wa 6 na wa 7 alirejea na kasi ya kawaida kwenye kazi na wiki mbili tatu tukawa nae na hapo ndiyo tulikuwa tunakaribia kuanza Tigo Fiesta moro. Akatuambia anabidi aelekee kwenye taratibu za kimatibabu na nikiri bado changamoto hizo zipo na madaktari wanakiri Kiongozi wetu ni mpambanaji na bado anahitaji muda wa kupumzika na ni kweli hizo changanoto zilikuwepo" @sebamaganga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad