Hatimaye Mtolea rasmi CCM akabidhiwa kadi

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, kupitia Chama cha Wananchi, Abdallah Mtolea amechukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga rasmi na chama hicho ikiwa ni siku tisa tangu atangaze kujiuzulu uanachama wa CUF, Ubunge na nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama hicho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad