Heshima waliyopewa Navy Kenzo nchini Kenya


Kundi la muziki Bongo, Navy Kenzo wamepewa nafasi ya kipekee ya kuwa wafunguzi maalum wa kituo cha cancer (saratani) Nairobi nchini Kenya.


Navy Kenzo ambalo linaundwa na wasanii wawili, Aika na Producer Nahreel wamefungua kituo hicho kinachokwenda kwa jina la Texas Cancer Nairobi siku ya jana.

 

Ni mara kadhaa ufunguzi wa vituo kama hivi ama zahanati/hospital na vituo vingine vya kijamii hufunguliwa na viongozi wa kisiasa, Dini na wengineo lakini Navy Kenzo wamepewa heshima hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad