Hi Hapa Logo ya King's Music Alikiba Aitambulisha Rasmi

Hi Hapa Logo ya King's Music Alikiba Aitambulisha Rasmi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye pia ni C.E.O wa lebo ya muziki wa King’s music records, Alikiba ameamua kuitambulisha rasmi logo ya King’s.



Kupitia ukurasa wake wa Instagram Alikiba ameitambulisha na kuandika hivi:-



Ikumbukwe kwamba kundi hilo la muziki ambalo liko chini ya Alikiba litafanya show yake ya kwanza katika mji wa Kahama tarehe 24-11-2018 siku ya jumamosi hii ambapo tayari wametoa baadhi ya wasanii watakao kuwepo kwenye show hiyo ambao ni yeye Alikiba, mdogo wake Abukiba,Cheed, Killy, pamoja na K2ga wote wakiunda kundi hilo lakini wapo wenine wanaotoka nje ya kundi hilo ambao ni Gigy Money, na msanii kutoka Zanzibar Fanny.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad