Inasikitisha! Wanandoa Wafariki na Helkopta Waliyopanda Baada ya Kumaliza Harusi Yao

Inasikitisha! Wanandoa Wafariki na Helkopta Waliyopanda Baada ya Kumaliza Harusi Yao
WANANDOA Will Byler na Bailee Ackerman Byler wamefariki Jumamosi iliyopita baada ya helikopta waliyopanda baada ya kumaliza harusi yao kuanguka kaskazini mwa Uvalde, Texas, Marekani.



Polisi na idara za usalama za Uvalde wamesema ajali hiyo ilihusisha helikopta aina ya Bell 206B ambayo mabaki yake yalionekana jana mapema asubuhi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad