John Mnyika "Tupo Tayari Kurudi Bunge Maalum la Katiba ya Warioba Bila Posho"


Mbunge John Mnyika ambae ni naibu katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA, kupitia ukurasa wake wa twitter amemtaka Rais magufuli kuitisha bunge maalum bila posho ili wakafanyie maboresho rasmu ya katiba ya Jaji mstaafu Joseph Sinde warioba, ombi hilo la Mnyika limetokana na kauli aliyoitoa jana Mh Rais kwenye mdahalo uliofanyika chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo Mh Rais alisema hategemei kutenga hela ya posho kwa ajili ya bunge maalum.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad