Kiki za Kutaja Mashoga Dar Zampatia Dili nono Dudu Baya kwa Diamond


Msanii wa Bongoflava Diamond amesema kuwa katika safari ya Muziki wake amekuwa akimuona DuduBaya akifanya vizuri katika muziki hivyo kama mpango wa kumshirikisha kwenye Tamsha la Wasafi 'Wasafi Festival' utafanikiwa na kupanda naye jukwaa moja, atajihisi ni mwenye kutimiza ndoto zake.

Dudu Baya kwa sasa yupo midomoni mwa watu baada ya kuwataja watu mbali mbali maarufu ambao wanahusika na tuhuma za ushoga Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad