KIMENUKA: Alichojibu Dudu Baya Baada ya Kutajwa Skendo ya Ushoga na Baunsa

Jana Kwenye mitandao ya kijamii ameonekana jamaa mmoja Baunsa akiwa kwenye gari huku akisema kuwa Dudu Baya Pia ni shoga na ameomba aende akapimwe na akidhibitika basi aende jela

Basi leo Dudu Baya amejitokeza na kujibu tuhuma hizo na kudai huyo jamaa ni baunsa wa Club moja na ni kuhadi wa Mashoga , na Wamepanga ili kumchafua baada ya kutaja list ya Mashoga

Tazama Video Kilichotokea:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad